avatar
Your name :

or login

Add Song
New comments

Nyimbo za kiswahili

A.T. Zanzibari - Bi. Harusi
No Foto(Instrumentals) {Chorus} Balaa, ugomvi leo Somo yake Bi. Harusi {Manya} kanga mpo wapi leo, muje muamue kesi (Tupo) Balaa, ugomvi leo Somo
A.T. Zanzibari - Antetera
No Foto{Intro} Vipi? Safi Umeshawahi kula papa? Papa? Eh, papa Papa, papai? Papa, samaki Aah, kumbe papa samaki Asa upate kwa muhogo Ooh Na
Montana Boshen - Ccm Daima Singeli
Montana BoshenImoto Dusco On The Beat Ccm Namba one Hata Ukibisha Wewe Nani Mama Samia Namba one Hata Ukibisha Wewe Nani We Mama Samia auna Baya Umefanya mengi mazuli si tumeona
Fid Q - Temanoleji
Fid Q{Intro} Uh-huh Huh {Verse 1: Fid Q} Na mistari mingi Zaidi ya wake za Mswati Sukuma Emcees kama kete kwa draft Tupo sambamba kama meno na
Fid Q - Shimo Limetema
Fid Q{Intro} Marco Cha- Li {Verse 1: Fid Q} Alipo niita sikumskia Akanikimbilia kwa ghasi, masikioni nina iPod "Hi, boy what's
Fid Q - Kila Siku
Fid Q{Intro: Phone conversation between Fid Q and QJ} {Drop} {Verse 1} Sio yule akili kisoda, nguvu kontena Huyu ni jeshi la mtu mmoja, ndio
Fid Q - Ripoti Za Mtaani
Fid Q{Intro: Zahir Zorro & Fid Q} {Drop} Woo... {Drop} Inasikitisha Inahuzunisha, (Uh) Inasikitisha Kweli imetokea
Fid Q - Mama
Fid Q{Intro} Mama don't cry Oh my God, I wish hii nyimbo ingekuwa ina beti tatu hivi, nne, you know Anyways, it is what it is Mama don't cry {Chorus:
Fid Q - Mwanamalundi
Fid Q{Intro} Yeah Marco Hivi unajua kwanini Yaani, mi huwa inabidi tu ni rekodi track kali? Ni kwasababu yaani hata kama ikatokea kwa bahati mbaya ikabuma kwenye media,
Zuchu - Chapati
ZuchuLG, aah LG Mr. LG Dullah, dullah, dullah Anataka kula Dullah hataki andazi, anataka kula Dullah hataki viazi, anataka kula Dullah, dullah, dullah anataka Basi
Dizasta Vina - Mbuzi
No FotoMbuzi alipata wadudu kwenye kwato Iliathiri furaha na nguvu alizonazo Mchungaji alihakikisha mbuzi ananawa Aliondoa wadudu wote kisha akamweka dawa Alikampangusa chawa akampa
Nande Boyz - Maria
Nande Boyz(Verse 1) (Pakii) Nalamuki na mbeto na fouiller palais mobimba Maria okimi otikeli nga Bana Natuni voisin alobi omataki Subaru Bozalaki yo sipora na sumuta Naamini kule
TID - Siamini
No Foto{Chorus} Oh, siamini Kama tuko wote Kama tuko wote Mimi na wewe Oh, siamini Kama tuko wote Kama tuko wote Mimi na wewe {Verse
D Voice - Zoba
D VoiceKama kosa la macho Hata mkiziba msimuone Ndani ya moyo wangu Namuona yeye kimasomaso Wenye wivu mukome Mtaambulia matandu Solo nala na
Top Band - Nilikataa
No Foto{Intro: Q-Chief} Oy, oy {Chorus: T.I.D. & Q-Chief} Nilikataa, nilikataa Sasa nimekubali we Nilikataa, nilikataa Sasa nimekubali we
Diamond Platnumz - Ukimuona
Diamond Platnumz{Intro} Mmmh {Verse 1} Mungu aliumba dunia, mapenzi tangu na tangu Yashanipiga sasa, 'sina budi nielewe Siwezi kung'ang'ania,
Fid Q - Juhudi Za Wasiojiweza
Fid Q{Intro: Bi. Kidude} {Drop} Juhudi za wasiojiweza Juhudi za wasiojiweza {Verse 1: Fid Q} Huu moyo huficha siri Ambazo kwa macho
Fid Q - Nyota Ya Mchezo
Fid Q{Intro: Doreen & Fid Q} {Drop} Wewe ni staa, staa Mimi ni staa, staa Kila mtu ni staa, uh-huh, staa, staa Ah, ah Lakini si wote wana nyota ya
Jay Melody - Ndonga Remix
Jay MelodyDua ilo katisha, eti mvua isiyeshe Hiki kihali, kipite mbali tulia acha mapepe Ana pepea mtima, hapa nangoja nideke Kwambali zumari kombe la chai yani walete walete Eti anacheza
Jay Melody - Ndonga
Jay MelodyDua hilo katisha, eti mvua isiyeshe Hiki kihali, kipite mbali tulia acha mapepe Ana pepea mtima, hapa nangoja nideke Kwambali zomari kombe la chai yani walete walete Eti anacheza