TID - Siamini
00
Copied!
{Chorus}
Oh, siamini
Kama tuko wote
Kama tuko wote
Mimi na wewe
Oh, siamini
Kama tuko wote
Kama tuko wote
Mimi na wewe
{Verse 1}
Wajua pendo letu 'lilipotoka
Ni mbali sana, mpenzi
Mi siwezi sema
Milima na mabonde, 'mengi tumeshuka
Oh-oh
Maneno mengi walisema
Kote bara na visiwani
{Pre-Chorus}
Woah, woah, woah
Kidani cha moyo wangu
Woah, woah, woah
Sogea karibu yangu
Woah, woah, woah
Maneno ya kweli, kwako...
Siamini
{Chorus}
Oh, siamini
(Siamini)
Kama tuko wote
Kama tuko wote
(Oh, yeah)
Mimi na wewe
(Wewe, wewe)
Oh, siamini
(Siamini)
Kama tuko wote
(Oh, yeah)
Kama tuko wote
(Wote, wote)
Mimi na wewe
(Oh, yeah)
{Verse 2}
Taarifa hii timamu
Kumbuka la kitimutimu
Tulishanapo we jangwani
Na mambo ya baharini
Sijiwezi asilani
Mwenzio kwako taabani...
{Pre-Chorus}
Woah, woah, woah
Kidani cha moyo wangu
Woah, woah, woah
Sogea karibu yangu
Woah, woah, woah
Maneno ya kweli, kwako...
Siamini
{Chorus}
Oh, siamini
(Oh, yeah)
Kama tuko wote
Kama tuko wote
(Oh, no, no)
Mimi na wewe
(Wewe, mpenzi)
Oh, siamini
(Siamini)
Kama tuko wote
(Oh, yeah)
Kama tuko wote
Mimi na wewe
(Wewe)
{Interlude}
"Hallo, halloo?"
Hebu nieleze, maanake natoka zangu Zanzibar, nafika Dar-es-Salaama
Kila kona nasikia "Siamini", kwani nani huyu kijana?
..."T-I-D"
Ala!, kumbe weye
{Bridge}
Yu wapi we...
(Hallo, hallo!)
Yu wapi mamaake harusi?
Aje hapa tuhangaike nae
(Wapi mama yake?, hallo, halloo!)
Yu wapi, eh
Yu wapi babaake harusi?
(Halluu!)
Aje hapa tuhangaike nae
(Hallo, Halloo!)
Yu wapi we...
(Woo, woo, woo)
Yu wapi kakaake harusi
Aje hapa tuhangaike nae
(Sema nao, basi, halloo)
(Aje hapa)
Kwa raha zangu
Eti aje hapa
(Hallo, halloo!)
Nasema aje hapa
Sema tena, aje hapa...
Oh-oh
{Chorus}
Oh, siamini
(Oh, yeah)
Kama tuko wote
(Wote)
Kama tuko wote
(Oh, yeah)
Mimi na wewe
(Wewe, tu)
Oh, siamini
(Wote, wote)
Kama tuko wote
(Oh, yeah, oh, yeah)
Mimi na wewe
(Oh, baby)
Oh, siamini
(Siamini)
Kama tuko wote
(Wote)
Kama tuko wote
(Wote, wote)
Mimi na wewe
(Oh, yeah)
Oh, siamini
(Oh, no)
Kama tuko wote
(Oh, yeah)
Kama tuko wote
(Wote)
Mimi na wewe
(Oh, yeah)
(Instrumentals)
{Chorus}
Oh, siamini
Kama tuko wote
Kama tuko wote
Mimi na wewe
Oh, siamini
Kama tuko wote
Kama tuko wote
Mimi na wewe
{Verse 1}
Wajua pendo letu 'lilipotoka
Ni mbali sana, mpenzi
Mi siwezi sema
Milima na mabonde, 'mengi tumeshuka
Oh-oh
Maneno mengi walisema
Kote bara na visiwani
{Pre-Chorus}
Woah, woah, woah
Kidani cha moyo wangu
Woah, woah, woah
Sogea karibu yangu
Woah, woah, woah
Maneno ya kweli, kwako...
Siamini
{Chorus}
Oh, siamini
(Siamini)
Kama tuko wote
Kama tuko wote
(Oh, yeah)
Mimi na wewe
(Wewe, wewe)
Oh, siamini
(Siamini)
Kama tuko wote
(Oh, yeah)
Kama tuko wote
(Wote, wote)
Mimi na wewe
(Oh, yeah)
{Verse 2}
Taarifa hii timamu
Kumbuka la kitimutimu
Tulishanapo we jangwani
Na mambo ya baharini
Sijiwezi asilani
Mwenzio kwako taabani...
{Pre-Chorus}
Woah, woah, woah
Kidani cha moyo wangu
Woah, woah, woah
Sogea karibu yangu
Woah, woah, woah
Maneno ya kweli, kwako...
Siamini
{Chorus}
Oh, siamini
(Oh, yeah)
Kama tuko wote
Kama tuko wote
(Oh, no, no)
Mimi na wewe
(Wewe, mpenzi)
Oh, siamini
(Siamini)
Kama tuko wote
(Oh, yeah)
Kama tuko wote
Mimi na wewe
(Wewe)
{Interlude}
"Hallo, halloo?"
Hebu nieleze, maanake natoka zangu Zanzibar, nafika Dar-es-Salaama
Kila kona nasikia "Siamini", kwani nani huyu kijana?
..."T-I-D"
Ala!, kumbe weye
{Bridge}
Yu wapi we...
(Hallo, hallo!)
Yu wapi mamaake harusi?
Aje hapa tuhangaike nae
(Wapi mama yake?, hallo, halloo!)
Yu wapi, eh
Yu wapi babaake harusi?
(Halluu!)
Aje hapa tuhangaike nae
(Hallo, Halloo!)
Yu wapi we...
(Woo, woo, woo)
Yu wapi kakaake harusi
Aje hapa tuhangaike nae
(Sema nao, basi, halloo)
(Aje hapa)
Kwa raha zangu
Eti aje hapa
(Hallo, halloo!)
Nasema aje hapa
Sema tena, aje hapa...
Oh-oh
{Chorus}
Oh, siamini
(Oh, yeah)
Kama tuko wote
(Wote)
Kama tuko wote
(Oh, yeah)
Mimi na wewe
(Wewe, tu)
Oh, siamini
(Wote, wote)
Kama tuko wote
(Oh, yeah, oh, yeah)
Mimi na wewe
(Oh, baby)
Oh, siamini
(Siamini)
Kama tuko wote
(Wote)
Kama tuko wote
(Wote, wote)
Mimi na wewe
(Oh, yeah)
Oh, siamini
(Oh, no)
Kama tuko wote
(Oh, yeah)
Kama tuko wote
(Wote)
Mimi na wewe
(Oh, yeah)
(Instrumentals)