avatar
Your name :

or login

Add Song
New comments

Lady Jay Dee - Umuhimu

 
0
Copied!

{Intro: Lady Jaydee}
Yeah
Jaydee
Woah, woah
Mm-mh

{Verse 1: Lady Jaydee}
Ilikuwa mi nakuletea maringo
Nayo majivuno niliweka mbele
Sikuona umuhimu wako
Nilihisi kelele
Ulipo sema, unanipenda
Mi nilipuuza
Ulipo amua, kuondoka
Nikaanza tapatapa, ooh
Nimechelewa
Huwezi kurudi tena
Nashindwa hata kuelewa
Nahitaji kueleweshwa
Ooh, ooh
Ooh, my baby

{Chorus: Lady Jaydee}
Sasa naona (Hey, hey)
Umuhimu wako (Ooh, ooh)
Wakati wewe 'uko mbali, mbali nami
Nakumbuka maneno yako
Natamani wewe ungekuwa nami
Sasa naona
Umuhimu wako (Ooh, ooh)
Wakati wewe uko mbali, mbali nami
Nakumbuka maneno yako (Kabisa)
Natamani wewe ungekuwa nami

{Verse 2: Lady Jaydee}
Wasikia kilio changu, ’mbona u kimya?
Sitarudia vituko, nitakuwa wako
Nahitaji msamaha wako
Unisamehe
Ooh
Nisamehe, unisamehe
Kwanini wewе umeondoka?
Mwenzio nina tapatapa
Ooh
Nimechеlewa
Huwezi kurudi tena
Nashindwa hata kuelewa
Nahitaji kueleweshwa
Ooh, ooh
Yeah, ay, yeah, yeah

{Chorus: Lady Jaydee}
Sasa naona (Naona)
Umuhimu wako
Wakati wewe 'uko mbali, mbali nami (U mbali nami)
Nakumbuka maneno yako
Natamani wewe ungekuwa nami
Sasa naona (Naona sasa)
Umuhimu wako
Wakati wewe uko mbali, mbali nami
Nakumbuka maneno yako (Nakumbuka)
Natamani wewe ungekuwa nami

{Verse 3: Juma Nature}
Ripoti hii ifike kwanza kwa dingi mpaka matheri (Mpaka matheri)
(?) simu vingine mpenzi havina chaji (Havina chaji)
Wanakuzuga navyo ili mradi wapate wanacho hitaji (Uh)
Hao ni waongo wenye hila, washazoea ubakaji (Mama yangu)
Nili-mind sana kuishi nawe, si uongo
Kamwe siwezi kutanga, ni escape wadudu (Eh-enhe)
Marafiki ndio wamekuponza, waongo, hawafai hata kwa chungu (Poa)
Uliwaona wanacheka, zile ni njama za kukuteka
Kimawazo hata kifikra
Na sio wakukaribiana nao, waogope kama ukoma (Kama ukoma)
Kwa maana hao jamaa wanafiki, hawafai (Poa)
Wao wana wanacho taka (Poa) kutugombanisha tu (Poa)
Nini kinakutatiza ushindwe kupiga hata stori (Eh-enhe)
Nilikuambia "nakupenda" mtoto sogea karibu nami (Poa)
Kukumbuka kuwaepuka majirani zako, watani
Walio zoea kuvuruga
{makochi} ya watu, hata wazima (Hata wazima)

{Chorus: Lady Jaydee}
Sasa naona (Yeah, yeah)
Umuhimu wako (Ooh, ooh)
Wakati wewe 'uko mbali, mbali nami (Uko mbali)
Nakumbuka (Nakumbuka)
Maneno yako (Oh, oh)
Natamani wewe ungekuwa nami (Oh, woah, woah, woah, woah)
Sasa naona
Umuhimu wako (Umuhimu wako)
Wakati wewe uko mbali, mbali nami
Nakumbuka maneno yako (Umekwenda)
Natamani (Umekwenda)
Wewe ungekuwa nami
Sasa naona (Woo!)
Umuhimu wako
(Yeah)
Wakati wewe (Wewe, wewe)
Wakati wewe ’uko mbali, mbali nami (Mbali, mbali, mbali)
Nakumbuka
Maneno yako
Natamani wewe ungekuwa nami (Yeah)
Sasa naona (Oh)
Umuhimu wako (Oh, baby, baby, baby)
Wakati wewe uko mbali, mbali nami
(Oh, oh)
Nakumbuka maneno yako (Ooh, oh)
Natamani
(Natamani sana wewe ungekuwa nami)

SoundCloud:

edit soundcloud

YouTube:


More Lady Jay Dee lyrics

Lady Jay Dee

Lady Jay Dee

Song Description

Biography

Judith Wambura Mbibo, better known by her stage name Lady Jaydee, is a Tanzanian singer.

New Lyrics

BiscuitBakesBangers - The Air That You And I Breathe Is Not The Same | Lyrics
{verse one} The noises they're making Those demons they're waiting
Levit.beats - Зайчик | Текст песни
{Куплет} Мы летим с тобой по небу Мы сбиваем все ракеты Мы сливаем с тобой
Kaspr off - Des choses a dire | Paroles
J’avais des idées pleins la tête non maman je le regrette pas. J'avais décider de faire
Edgar Allan Pop - Bocca Mani Piedi | Testi
{Testo di "Bocca Mani Piedi"} {Strofa 1} Sto bene ma
Kaspr off - Libre comme le vent | Paroles
Ouais je veut être libre comme le vent Mais je suis limité comme le temp Le bon bout ma
SeptembersRich - Blackout / R8 | Lyrics
{Chorus} Blacked out Audi R8 Blacked out Audi R8 Blacked out Audi R8
Kaspr off - C'est le jeu | Paroles
J'ai pas le temp de regarder ma montre Je suis que ce que je te montre Bonheur est
Fraichu - DO SIEBIE | Lyrics (pl)
{Refren: fraichu} Wchodzę do siebie jak wchodzę na miasto Zawsze mam kaptur, bo
Sinazza - Deja Vu | Lyrics (fa)
اومدم بالا no cap بتونی باشی جام عمرا Shawty so bad شب خوب بام صُب بد نشو