avatar
Your name :

or login

Add Song
New comments

Nyimbo za kiswahili

Lady Jay Dee - Tangu Mwanzo
Lady Jay Dee{Chorus: Lady Jaydee and Both} Tangu mwanzo Tangu mwanzo Kisa kilicho pelekea, mambo yote kuvurugika Visa tu vinajirudia, lakini kaa ukitambua Hii ni tangu
A.T. Zanzibari - Kazi Yao
No Foto(Instrumentals) {Verse 1} Nawasonya kwa hasira wenye akili sifuri Wamepoteza taswira, upeo umebaki kivuli Wanalala na dada zao Wapeni na pole yao Woah
A.T. Zanzibari - Homa
No Foto{Intro} Ha-ha Uprise Music, baby {Chorus} Nikikuona napata homa Nashindwa sema, "nakupenda sana" Nikikuona napata homa Nashindwa
A.T. Zanzibari - Vifuu Tundu
No FotoWao, wao, wao, wao Wajua, jua kusema (Vifuu tundu) Wao, wao, wao, wao Wanasema yasio maana (Vijitu) Ndio maana hawapokei (Hey!) Kwa sababu wana laana
T.I.D. "Mnyama" - Mrembo
No Foto{Chorus: T.I.D.} Nasema tena mrembo Oh, oh Nasema tena mrembo (Wewe, wewe) Mrembo wangu niambie wewe nini unataka (Wewe sema tu) Pendo lako kwangu mimi
Baby A - L3fou
No Foto{Couplet 1} Machi nta li twarina chnou ndiro khoo Sir oula naslik b chi cache Hsabnak rajal sa3a ntaya ri bad bitch Ki nta ki 3achranak Kouma lambawa9 kou ra
Baby a - Casablanca
No Foto{Couplet 1} Ra chhal hadi machi yalla bdina Kane darbou 3liha tammara bach katjik bnina Everyday katlgani kane zid la sauce flcousina Ba9i khdam makansalich kandour
TID - Watasema Sana
No Foto{Verse 1: T.I.D.} Wahenga walinena Chanda chema huvishwa pete Kwa vijembe nikasemwa Ilimradi unitose Si utani, 'una nithamini Uko tayari tufe wote Ka
TID - Zeze
No Foto(Instrumentals) {Chorus: T.I.D.} Kama wanipenda Kaninunulie zeze Nikilala kitandani Zeze lanibembeleza Kama wanipenda Kaninunulie zeze Nikilala
A.T. Zanzibari - Bi. Harusi
No Foto(Instrumentals) {Chorus} Balaa, ugomvi leo Somo yake Bi. Harusi {Manya} kanga mpo wapi leo, muje muamue kesi (Tupo) Balaa, ugomvi leo Somo
A.T. Zanzibari - Antetera
No Foto{Intro} Vipi? Safi Umeshawahi kula papa? Papa? Eh, papa Papa, papai? Papa, samaki Aah, kumbe papa samaki Asa upate kwa muhogo Ooh Na
Montana Boshen - Ccm Daima Singeli
Montana BoshenImoto Dusco On The Beat Ccm Namba one Hata Ukibisha Wewe Nani Mama Samia Namba one Hata Ukibisha Wewe Nani We Mama Samia auna Baya Umefanya mengi mazuli si tumeona
Fid Q - Temanoleji
Fid Q{Intro} Uh-huh Huh {Verse 1: Fid Q} Na mistari mingi Zaidi ya wake za Mswati Sukuma Emcees kama kete kwa draft Tupo sambamba kama meno na
Fid Q - Shimo Limetema
Fid Q{Intro} Marco Cha- Li {Verse 1: Fid Q} Alipo niita sikumskia Akanikimbilia kwa ghasi, masikioni nina iPod "Hi, boy what's
Fid Q - Kila Siku
Fid Q{Intro: Phone conversation between Fid Q and QJ} {Drop} {Verse 1} Sio yule akili kisoda, nguvu kontena Huyu ni jeshi la mtu mmoja, ndio
Fid Q - Ripoti Za Mtaani
Fid Q{Intro: Zahir Zorro & Fid Q} {Drop} Woo... {Drop} Inasikitisha Inahuzunisha, (Uh) Inasikitisha Kweli imetokea
Fid Q - Mama
Fid Q{Intro} Mama don't cry Oh my God, I wish hii nyimbo ingekuwa ina beti tatu hivi, nne, you know Anyways, it is what it is Mama don't cry {Chorus:
Fid Q - Mwanamalundi
Fid Q{Intro} Yeah Marco Hivi unajua kwanini Yaani, mi huwa inabidi tu ni rekodi track kali? Ni kwasababu yaani hata kama ikatokea kwa bahati mbaya ikabuma kwenye media,
Zuchu - Chapati
ZuchuLG, aah LG Mr. LG Dullah, dullah, dullah Anataka kula Dullah hataki andazi, anataka kula Dullah hataki viazi, anataka kula Dullah, dullah, dullah anataka Basi
Dizasta Vina - Mbuzi
No FotoMbuzi alipata wadudu kwenye kwato Iliathiri furaha na nguvu alizonazo Mchungaji alihakikisha mbuzi ananawa Aliondoa wadudu wote kisha akamweka dawa Alikampangusa chawa akampa