avatar
Your name :

or login

Add Song
New comments

A.T. Zanzibari - Bi. Harusi

 
0
Copied!
(Instrumentals)

{Chorus}
Balaa, ugomvi leo
Somo yake Bi. Harusi

{Manya} kanga mpo wapi leo, muje muamue kesi
(Tupo)
Balaa, ugomvi leo
Somo yake Bi. Harusi
Mtizameni mkwe wenu kwa bashasha na ucheshi
Balaa, ugomvi leo
Somo yake Bi. Harusi
Umetaniwa kidogo, unatoa matapishi
Balaa, ugomvi leo
Somo yake Bi. Harusi
Wewe jifanye mjuaji, ukapike wali mbichi
Balaa, ugomvi leo
Somo yake Bi. Harusi

{Post-Chorus}
Nampenda
{Shuharina}
Shuharina, Shuharina (Aka!)
Namtaka Shuharina, Shuharina, "pesa sina (Tena!)
Nampenda
{Shuharina}
Shuharina, Shuharina (Ndio hivyo, hivyo)
Hodi, hodi eh
Oy, weh...

{Verse 1}
Kina mama, mabibi na mababu, 'nawashika masikio
Hawa
{wari} wa sasa wana tabu, 'waozeshwe mbio mbio
Kina mama, mabibi na mababu, 'nawashika masikio
Hawa
{wari} wa sasa wana tabu, 'waozeshwe mbio mbio

{Verse 2}

{Mwanjaha} ana tabia mbaya
Anamsema mkwewe, eti kwamba ana chawa

{Mwanjaha} ana tabia mbaya
Anamsema mkwewe, eti kwamba ana chawa

{Verse 3}
Sumoona visa (Yala!)
Vya kusikitisha, (Toba!)
Mwari hana pesa anajitongozesha
Sumoona visa (Aka!)
Vya kusikitisha, (Tena!)
Mwari hana pesa, anajitongozesha
Hehehe, kaoge

{Chorus}
Balaa, ugomvi leo
Somo yake Bi. Harusi

{Manya} kanga mpo wapi leo, muje muamue kesi
(Tupo)
Balaa, ugomvi leo
Somo yake Bi. Harusi
Mtizameni mkwe wenu kwa bashasha na ucheshi
Balaa, ugomvi leo
Somo yake Bi. Harusi
Umetaniwa kidogo, unatoa matapishi
Balaa, ugomvi leo
Soko yake Bi. Harusi
Wewe jifanye mjuaji, ukapike wali mbichi
Balaa, ugomvi leo
Somo yake Bi. Harusi

{Post-Chorus}
Nampenda
{Shuharina}
Shuharina, Shuharina (Aka!)
Namtaka Shuharina, Shuharina, 'pesa sina (Tena!)
Nampenda
{Shuharina}
Shuharina, Shuharina (Ndio hivyo, hivyo)
Namtaka Shuharina, Shuharina, 'pesa sina

Heh, wengine wanalia umbea kwenye harusi, eh
Wakaoge

{Verse 4}
Somo yake mueleze na mapema
Akiachika wasije pata la kusema
Somo yake mueleze na mapema
Akiachika wasije pata la kusema

{Verse 5}
Rafiki wa sikuhizi
Usiwaone wajuzi, wanaranda na hirizi, kuyaharibu mapenzi
Rafiki wa sikuhizi
Usiwaone wajuzi, wanaranda na hirizi, kuyaharibu mapenzi

{Verse 6}
Mimi na wewe
Tusipeane lawama
Tumealikwa, ya nini ukimbie na nyama?
Mimi na wewe
Tusipeane lawama
Tumealikwa, ya nini ukimbie na nyama?
Wa (?...) ndiyo kazi yao

{Chorus}
Balaa, ugomvi leo
Somo yake Bi. Harusi

{Manya} kanga mpo wapi leo, muje muamue kesi
(Tupo)
Balaa, ugomvi leo
Somo yake Bi. Harusi
Mtizameni mkwe wenu kwa bashasha na ucheshi
Balaa, ugomvi leo
Somo yake Bi. Harusi
Umetaniwa kidogo, unatoa matapishi
Balaa, ugomvi leo
Somo yake Bi. Harusi
Wewe jifanye mjuaji, ukapike wali mbichi
Balaa, ugomvi leo
Somo yake Bi. Harusi

{Post-Chorus}
Nampenda
{Shuharina}
Shuharina, Shuharina (Aka!)
Namtaka Shuharina, Shuharina, "pesa sina (Tena!)
Nampenda
{Shuharina}
Shuharina, Shuharina (Ndio hivyo, hivyo)

(Instrumentals)

{Bridge}
Eh, mama, lawama
Kanipa shubiri, kaniambia nyama
Eh, mama, lawama
Kanipa shubiri, kaniambia nyama
Eh, mama, lawama
Kanipa shubiri, kaniambia nyama
Heh!

{Verse 7}
Dada yake Bi. Harusi (Tena!)
Yuko wapi aje hapa
Nimekuja na mzigo leo nataka kumpa
Mama yake Bi. Harusi na mumewe anacheka
Muambie Babu Hamisi, asije toa talaka

{Bridge}
We mama (Heh!)
Lawama (Tena!)
Kanipa shubiri, kaniambia nyama
We mama, 'lawama
Kanipa shubiri, kaniambia nyama
Vya utamu

{Drop}

Uh, eh 'we ni chai eh, nakuharibu kwa kukutia tui tu mimi eh
Ha-ha

{Outro}
Sambusa, nipe sambusa
Sambusa, nipe sambusa
Sambusa, nipe sambusa
He-he
Sambusa, nipe sambusa
Sambusa, nipe sambusa
...Eeh, huu ndio mduara
{dumbak} eh
Eh, hii kutoka kwa (?...)
Almaarufu kama "Zanzibar"
Wewe kinda tu, kuruka hauwezi
Wela, wela, wela, wela, wela, we
Eh...mambo ya Pwani haya, eh

SoundCloud:

edit soundcloud

YouTube:


More A.T. Zanzibari lyrics

A.T. Zanzibari

No Foto

Song Description

Biography

New Lyrics

Elephant Brain - Una casa in cui tornare | Testi
Credimi Questa notte non basta E non passa l’aria dentro questa stanza Proprio come
Duke Gray, MANGASLAYERS - Confession | Lyrics
What if tomorrow I'll be dust in air and nothing else remains Tomorrow is the day I'll
Gdysou - APON & Eleni Foureira | Testi
{Intro: APON } Sì Sì, un minuto soltanto, baby Solo un minuto Che
Sara’h - Tout ça pour ça | Paroles
{Paroles de Tout ça pour ça} {Intro} T’as pris ma main, tu m’as
Zayde Wolf - The Warrior | Lyrics
In the shadows I'm fighting battles In the darkest night But I remember
Weapon X, Ken Hell & A-Style - My Burbs | Lyrics
{Commentary: Savage} Weapon X Ken Hell Sickcuntion Luncheon Pussy
Marvel J ft Rap monster - Hot pants have to be tight | Lyrics (ko)
{intro: marvel j} Yo 대남협 {chorus: marvel j and rap monster}
YTCracker - MSCOMCTL.OCX | Lyrics
{sample} Yung snap, why the tv all staticky? I'm looking for… alien!
Nina Hope - Let Us Bleed | Lyrics
{verse 1 - nina hope:} Every day i fall apart I be losing my mind Tryna