avatar
Your name :

or login

Add Song
New comments

All Dizasta Vina Lyrics (sw) Total 30

Dizasta Vina - MbuziMbuzi alipata wadudu kwenye kwato Iliathiri furaha na nguvu alizonazo Mchungaji alihakikisha mbuzi ananawa Aliondoa wadudu wote kisha akamweka dawa Alikampangusa chawa akampa
Dizasta Vina - Hatia VISalamu baba mi mwanao Naandika waraka kwa maana hutaki vikao Nahitaji majibu nikihisi ni haki yangu Najisikia vibaya kusikia unaishi na sina ngao Nimeshika kalamu haya
Dizasta Vina - A father figureNatazamwa kama mgongo Wa kuegewa kama chombo Nikitegemewa na watoto Lakini kwa ndani mi' ni mtoto pia Mtoto wa katikati Njiapanda kati ya Ukweli na uongo
Dizasta Vina - Wachezaji wa timuWanasema duniani kuzimu Kwanini ukeshe kushika protocol wakati Ulaji muhimu Watu wanachohifadhi ni mbinu Kucheza kulia kushoto ila wote ila wote Ni wachezaji wa timu
Dizasta Vina - Achia jalaOya Mwela alikuja nikampiga sound mbumba mbaya Siwezi lala down town naitunza kaya Niko around ninavunja taya Michongo kibao town wana hawakuvuta waya Achia jala Ni heri
Dizasta Vina - Tatoo ya asiliAmezongwa na zimwi Alisikia jirani akitoa hoja kwa kijiji Sababu ya kukosa elimu ya maambukizi Walihisi kurogwa ndio sababu ya gonjwa la Ukimwi Huyo ni mgonjwa jamani
Dizasta Vina - AlmasiNilikutana mtaani na Mzee mmoja Tukaketi chini akanipa soga Mimi sitamsahau Alisema wangapi walikuwepo namba moja Sasa wamerudi chini ni vioja Watu wamewasahau
Dizasta Vina - A Confession of a Mad PhilosopherMaana ya uhuru huisha baada ya utambuzi Baada ya kutambua kwamba uhuru si maamuzi Maana Kifungo na mipaka vinafanana Aliyekuambia kuna uhuru utaupata kakudanganya Ipo asili
Dizasta Vina - TribulationYeah We ni we msosi mfano chips na maini Ila mbishi kama nini Huu ni mkosi vipi hutaki kuamini Unawekwa kwenye list ya maiti sheikh Unakuja bila tarehe Unagusa
Dizasta Vina - Best FriendHuh Nina washkaji home dili ikija wanapindisha sera Inawaumiza napopiga hela Wote wanangu bado sijawahi wapinga jambo Hata wakificha Cargo Bado nawapa hi ‘cause we best friends
Dizasta Vina - Hatia VYeah Nilimfahamu baba alikuwa jasiri Aliondoa utando ulipodandia kuta Alitoa nyoka makatili alipambana na Majangiri walipovamia nyumba Aliweka paa juu vichwa Hatukuogopa
Dizasta Vina - MlemavuYeah!! Haujui wimbo ulio bora dhahiri Haujui ushairi au mstari ukaukariri Haujui giza haujui baridi Au mbu walonighasi wakati nakusubiri Haujui kupenda, moyo wako hewa
Dizasta Vina - ShahidiAh Nilipanda kwenye jukwaa, watu walinishangaa Unadhifu wa meli haukufanana na nilivyovaa Kabla sijatoa salamu, walipoteza hamu Ya kuburudika wengine wakaanza kusambaa
Dizasta Vina - TomorrowVerse 1 Kesho nafasi ya kuanza upya Kumaliza kuishi nafasi ya kuanza kufa Kuivunja sheria nafasi ya kufuata ruksa Kuikumbuka jana au kuanza kuifuata future Future ni
Dizasta Vina - KeshoVerse 1 Kesho nafasi ya kuanza upya Kumaliza kuishi nafasi ya kuanza kufa Kuivunja sheria nafasi ya kufuata ruksa Kuikumbuka jana au kuanza kuifuata future Future ni
Dizasta Vina - A muscular FeministDear boys dear… men Ni sisi wasichana kina dada, mabinti na mama zenu Tunaongea kutoka upande wa chini, upande mbali upande kutoka usawa wenu Upande nilipo msichana kuna
Dizasta Vina - Wimbo usio boraRudi nyumbani kapumzike Rudi nyumbani kapumzike Nimeshindwa na maudhi Rudi nyumbani kapumzike Ukishabadilika utarudi Maana haya mahusiano yananipoteza Haya
Dizasta Vina - Mwanajua ft DashVERSE 1 Alizaliwa mashariki alifahamika mahali pote Alikuwa malaika wa ndoto zetu wote Walimwita Mwanajua kwa maana alijua vyote Alitamalaki nuru ilitua mahali kote
Dizasta Vina - Hatia IV“jasiri john….. aliyaangalia maisha yake Hakuona jinsi angeweza kuishi bila jane Msichana anayempenda Licha ya kuzongwa na umasikini Alijitahidi kumpa jane mahitaji madogomadogo
Dizasta Vina - The VertellerInafaa kunena Inafaa kunena labda ni muhimu sijui Labda kusimulia si karama kama wanavyosema Ikiwa msimuliaji huingia hatarini Labda kweli baraka ni laana njema
Dizasta Vina - NOBODY IS SAFE 3Ah Eyo kutoka Panorama nasukuma ringi kisomi Maana wa kufanya hivi simuoni Na maji ni ya shingo nawapalia madingi kooni Kwa mistari mingi kushinda hata nzi sokoni
Dizasta Vina - NdoanoOkay Ah Chukua kitabu fungua page sixty three Tusome hii part ya love and its mystery Haiwezi elezwa kwa science, math labda history Inaitwa ndoa ni half loss half
Dizasta Vina - HatiaAh.! Niambie ilianza vipi najua haikuanza ghafla Zipi dalili maana hata mafua huanza na chafya Kivipi mi kaka'ako na ulisita kuniambia ukafanya siri ina maana kimsingi nawe
Dizasta Vina - Fallen angelYoh .. Wanasema nilipenda bila tija, kwamba sikutaka kujifunza sikutaka tiba. Nilikupenda na mtaani ilikuwa shida. Nilikosana na watu maana nilikutaja kila mida Niligombana na
Dizasta Vina - MoyoVERSE I Tamaa ya mwili ikichukua nafasi..nafsi inasita na moyo huwa unadunda kwa kasi...moyo dhaifu hutekwa na dhambi... huku viungo hugeuka mtumwa na ndio maana hutenda kila kazi...
Dizasta Vina - Kanisa@Dizasta_Vina Kanisa rylics Yoh! Salamu kanisa wako mpendwa katika bwana, katika wana waliotaka kufeli nami nazama, tangu jana uwepo wako haupingiki, kisa una nguvu ya kuwavuta
Dizasta Vina - Nobody is safeYeah You know who he!?? Ah a.k.a chuji Hii sauti juu ya hili dundo ni ka' ngumi Nikiteta hadithi utahisi ngugi Mi' sio star, mi' sio adui, mi sio scene mi'
Dizasta Vina - Hatia IIAh! Nilipaa sasa natua Kwenye/kwenye Siri ya moyo Na siri ya moyo Anayeijua mwenye/ Mwenye ujasiri wa Kutunza nafanya Ninachodhani ni Sahihi
Dizasta Vina - Nobody is safe 2Ah! Mkacha naku-reflect Mtanzania Ulio jela au kwa Thabo Mbeki ulipozamia Sicheki cheki hata ukitania Man, hii record heavy ona haubebi hata kwa Scania Ah! Sikiliza tenzi
Dizasta Vina - KIKAONINajivunia kulala na mkeo Nimevumilia sana na leo Nimeamua kusema sijali ka' utanikaba koromeo Utanivunja na kuniacha kimeo... Kamwe sijutii katu Sijutii katu

Dizasta Vina

No Foto