avatar
Your name :

or login

Add Song
New comments

All Fid Q Lyrics (sw) Total 19

Fid Q - Temanoleji{Intro} Uh-huh Huh {Verse 1: Fid Q} Na mistari mingi Zaidi ya wake za Mswati Sukuma Emcees kama kete kwa draft Tupo sambamba kama meno na
Fid Q - Shimo Limetema{Intro} Marco Cha- Li {Verse 1: Fid Q} Alipo niita sikumskia Akanikimbilia kwa ghasi, masikioni nina iPod "Hi, boy what's
Fid Q - Kila Siku{Intro: Phone conversation between Fid Q and QJ} {Drop} {Verse 1} Sio yule akili kisoda, nguvu kontena Huyu ni jeshi la mtu mmoja, ndio
Fid Q - Ripoti Za Mtaani{Intro: Zahir Zorro & Fid Q} {Drop} Woo... {Drop} Inasikitisha Inahuzunisha, (Uh) Inasikitisha Kweli imetokea
Fid Q - Mama{Intro} Mama don't cry Oh my God, I wish hii nyimbo ingekuwa ina beti tatu hivi, nne, you know Anyways, it is what it is Mama don't cry {Chorus:
Fid Q - Mwanamalundi{Intro} Yeah Marco Hivi unajua kwanini Yaani, mi huwa inabidi tu ni rekodi track kali? Ni kwasababu yaani hata kama ikatokea kwa bahati mbaya ikabuma kwenye media,
Fid Q - Juhudi Za Wasiojiweza{Intro: Bi. Kidude} {Drop} Juhudi za wasiojiweza Juhudi za wasiojiweza {Verse 1: Fid Q} Huu moyo huficha siri Ambazo kwa macho
Fid Q - Nyota Ya Mchezo{Intro: Doreen & Fid Q} {Drop} Wewe ni staa, staa Mimi ni staa, staa Kila mtu ni staa, uh-huh, staa, staa Ah, ah Lakini si wote wana nyota ya
Fid Q - Mafanikio{INTRO: Barakah The Prince} Kila mtu anataka mafanikio {VERSE 1: Fid Q} Kujisikia nipo juu mie sitaki hizo deals Sipendi makuu hivyo nitabaki kuwa
Fid Q - ChampionVile nina discipline Hata ukinidiss mimi Sileti shazi,sikuweki wazi kwenye big screen Ninasaka chi- ching Ninafanya big tings Kazi kazi nyie waduanzi hamnishushi mimi
Fid Q - Propaganda{Intro:} Marco Cha- Li {Hook:} Polisi wana support gangsta rap' ili uhalifu uongezeke Wabana pua kuimba mapenzi je itafanya UKIMWI usepe?
Fid Q - Ole Chizza{Verse 1: Fid Q} Palipo moshi pana moto, Cheki shisha/ Hapatoshi kwa huo mtoko, Feki pisha/ Naona pochi yenye noti hauwezi shika/ Usinichoshe Mi ni Boss, Mechi
Fid Q - Mzee MbuziMzee Mbuzi wewee! {Verse 1} Hii game ni yako, Hizo ndiyo kauli za mitaani/ Haufiki sehemu bila ku-Hustle, Hivyo walinishauri nipambane/ Nauli nisakanye, Maisha ni
Fid Q - Masta{Intro} Wimbo wa kwanza kabisa kuusikia, ulikuwa ni huyu na yule... Hazungumzii mapenzi, Bali anazungumzia jamii kwa ujumla... Sio mtu ambaye kwamba analenga tu soko kama
Fid Q - Tajiri Yangu-Chorus(Paul Clement) Ewe, Ewe tajiri yangu Wewe ndiwe kila kitu kwangu Ewe, Ewe tajiri yangu Wewe ndiwe kila kitu kwangu We ni tajiri, wa matajiri We ni tajiri, tajiri
Fid Q - KemosabeNiliamini mapene hayatoshi..na niki-hustle siyakosi/ Sababu.. sipo kwenye loss na life simple huwa hai-cost/ Kwahivyo nikaenda Dar na treni... of thoughts../ Sikwenda kuzubaa au
Fid Q - Sumu[Verse I:] Aliyeniumba alinipa mdomo hivo n'na haki kuongea Hii bahati meotea, safi kamwe siachi kui-share Hamtaki niwe fair, trust me man huwa happy nki-care Naona
Fid Q - Bendera Ya ChumaV E R S E 1: (Fid Q) Naitwa FAREED.. Kwa maana mie ni wa kipekee na wa aina yake/ Huu UJASIRI na huu UTAJAIRI WA MASHAIRI una tafsiri zake/ JASIRI coz SIOGOPI kuumia/ Nikiwa
Fid Q - Ni Hayo TuIntro: Oyaa, dogo, we mshamba we njoo hapa We ndio wanakuita Fid Q, (Ndio) Hebu atupe mistari kwanza... [Verse I: Fid Q] Korombwea hayo maisha ya kuungaunga, hiyo

Fid Q

Fid Q
Farid Kubanda (better known by his artistic name as Fid Q; Is a hip hop artist and Bongo Flava from Tanzania.