Alice Otieno - Tulia
00
Copied!
Tulia tulia aaah tulia tulia aaah tulia tulia aaah tulia tulia aaah
Tulia tulia aaah tulia tulia aaah tulia tulia aaah tulia
Nivigumu anajua
Tumezoea kujitumainia
Lakini nguvu zetu
Haziwezi tosha
Vita vyetu si vya Dunia
Ye hataki hela
Hataki mwenye cheo
Ni Wewe tu kumuaminia
Atakuponya atakulinda
Atakuonyesha ye astahili sifa
Moyo wangu tulia
Usichoke tulia
Anafika tulia
Atakushika tulia
Moyo wangu tulia
Amani yake ipo sasa
Na yeye anaweza
Imani paza sauti
Tulia tulia aaah tulia tulia aaah tulia tulia aaah tulia
Nivigumu anajua
Tumezoea kujitumainia
Lakini nguvu zetu
Haziwezi tosha
Vita vyetu si vya Dunia
Ye hataki hela
Hataki mwenye cheo
Ni Wewe tu kumuaminia
Atakuponya atakulinda
Atakuonyesha ye astahili sifa
Moyo wangu tulia
Usichoke tulia
Anafika tulia
Atakushika tulia
Moyo wangu tulia
Amani yake ipo sasa
Na yeye anaweza
Imani paza sauti