avatar
Your name :

or login

Add Song
New comments

Rapcha - Kwaaa

 
0
Copied!

{Intro}

It’s been a minute shawty

Last king of 90’s baby

This is crazy!

{Chorus}

Ananizunguka tu kichwani like

Kwa kwa kwa kwa kwa kwa, kwa kwa kwa

Em cheki anavyo

Waka waka waka waka waka waka waka

Yani like

Kwa kwa kwa kwa kwa kwa, kwa kwa kwa

Em Cheki anavyo

Waka waka waka waka waka waka waka

{Verse 1}

Maake yuko hot ain’t capping

Nahisi kama age yuko twent something

Ngoma zake west hamjui last king

Ananipa headache namaliza asprin

Ukianza na face au weka last

Body number 8 hii sio plastic

Scent ya kishua kitu ka jasmine

Kwapa ni upara shughuli ya waxing

And i guess ye ndo anafanya town kuna joto maana sio siri yuko really hot

Nguo haziponyoki zinamshika very tight tight kama rubberband iliokamatia noti

Sa sjui tu ni nyenye au ni ugwax

Vile yuko byee byee naeza kum’trust
Nachotaka yeye anipe tu nafasi basi

Kaikosha nafsi halafu..

{Chorus}

Ananizunguka tu kichwani like

Kwa kwa kwa kwa kwa kwa, kwa kwa kwa

Em cheki anavyo

Waka waka waka waka waka waka waka

Yani like

Kwa kwa kwa kwa kwa kwa, kwa kwa kwa

Em Cheki anavyo

Waka waka waka waka waka waka waka

{Verse 2}

Big big back, Big A double S
Kiti chenye pini ana burst akiketi

Kama itatokea ukamuona ukiwa una drive car itabidi upark ndo ubaki concetrate

Sijasikia wimbo unao еleza ulivyo beautiful

Since first timе nachizika ulivyo mzuri hivyo

Hapa bado sijaanza kumpa sifa zilofichwa

Nasubiri anikubali nianze kumpa kichwa

Kizembe hang’oki na faranga

‘Afu Bonge la ndege havutwi na kamba

Moyo unazidisha tu mikito kwenye heartbeats kama sign beatz unabeat tukimeet

Ila sa sjui tu ni nyenye au ni ugwax

Vile yuko byee byee naeza kum’trust

Nachotaka yeye anipe tu nafasi basi

Kaikosha nafsi ila

{Chorus}

Ananizunguka tu kichwani like

Kwa kwa kwa kwa kwa kwa, kwa kwa kwa

Em cheki anavyo

Waka waka waka waka waka waka waka

Yani like

Kwa kwa kwa kwa kwa kwa, kwa kwa kwa

Em Cheki anavyo

Waka waka waka waka waka waka waka

SoundCloud:

edit soundcloud

YouTube:


More Rapcha lyrics

Rapcha

Rapcha

The meaning of the song

Biography

New Lyrics

​chAN’s - 멀어져, 흩어져, 사라져 | Lyrics (ko)
{Chan's "멀어져, 흩어져, 사라져" 가사} {Verse 1} 알아 내가 너무 늦은
Sofá Kids - Lejos De Aquí | Letras de canciones
{Letra de "Lejos De Aquí"} {Verso 1} Te pienso en
Ferenc Farkas - Sonnet VII de Louise Labé | Paroles
On voit mourir toute chose animée Lors que du corps l'âme subtile part Je suis le
Laura Maré - Daniela | Letras de canciones
Solo tú tienes acceso No sé dónde vaya a encontrarte Pero algo me dice que vas a estar
Shinzu - Toxic but loyal | Lyrics
I saw you in the back of my show last night Standing underneath the exit sign I know it
две тысячи семь - Мы | Текст песни
{Текст песни «Мы»} Нам с тобой повезет, мы с тобой расстроены жизнью
RichA$$Zoe - Before the Rain | Lyrics
“But is there a name on the gravestone?” “No. No, it’s new and clean and waiting."
XiiiDolor - Legend | Lyrics
{chorus} At the end of it all i hope my future is bright I hope that i am a